Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, hizi habari zilinazotrend toka Jana kuwa jamaa kaikacha msimbazi then kaonekana JK Nyerer Airport kana kwamba anakwea pipa.
Pia, inasemekana kuwa pale msimbazi wamevunja whole bench la ufundi.
hizi habari zimekaaje wakuu.
Pia, inasemekana kuwa pale msimbazi wamevunja whole bench la ufundi.
hizi habari zimekaaje wakuu.