Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
haswaaIla wale wahindi mwisho wa msimu waondolewe
Yaaani Kupigwa Mbili Chamanzi (KMC) mnasambaratisha bench zima la ufundi???
5imba sio timu ya kitaifa, ni timu ya wahindi wahindi wa pale sokoni Msimbazi. Habari za Uchebe kutimuliwa kama sio leo basi kesho, ni suala tu la wakati. Haiwezekani mume achome msuli mke agomee mtandioUshabiki wa Simba na Yanga ukiuchukulia siriasi' unaweza pata kichaa,sijui ilitokeaje zikawa Timu za Kitaifa...hizi zilitakiwa ziendelee kuwa ni Timuza Mitaa ya Jangwani na Msimbazi tu,Kama ilivyo Kyaku_kumensa ya Kinampanda!
Yaaani Kupigwa Mbili Chamanzi (KMC) mnasambaratisha bench zima la ufundi???
Itafahamika tu
Ila hata akisepa na asepe kwani walisha sepa wangapi
SIMBA NGUVU MOJA
Mchukueni ZaheraItafahamika tu
Ila hata akisepa na asepe kwani walisha sepa wangapi
SIMBA NGUVU MOJA
Aiseee5imba sio timu ya kitaifa, ni timu ya wahindi wahindi wa pale sokoni Msimbazi. Habari za Uchebe kutimuliwa kama sio leo basi kesho, ni suala tu la wakati. Haiwezekani mume achome msuli mke agomee mtandio
ahaaa[emoji23][emoji23]5imba sio timu ya kitaifa, ni timu ya wahindi wahindi wa pale sokoni Msimbazi. Habari za Uchebe kutimuliwa kama sio leo basi kesho, ni suala tu la wakati. Haiwezekani mume achome msuli mke agomee mtandio
yaani...wametualibia shughuliKMC ni noma
Naona mnasuburia kwa hamu simba ipate matatizo mpate ya kuongea