Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha

Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha

Bahati nzuri Mmiliki alipanga kikosi ilichotoa ushindani wa kutosha katika mechi ya kwanza dhidi ya Yanga Chini ya Uchebe.

Mpaka sasa hakuna mechi iliyochezwa kwa ushindani na kasi ya haliya juu zaidi ya Mechi ya kwanza ya Singida vs Yanga iliyopelekea mpaka Makocha wapigane.

Ni bora kikosi awe anapanga mmiliki na kocha asubiri.
Kile alipanga kocha ndio maana alifukuzwa baada yakuleta upanzani mkali kwa yanga
 
View attachment 3241700

Mimi sio mtu wa kupangiwa unapaswa kufanya hiki kwa wakati gani kwasababu uliniajiri ili nifundishe sasa kwanini unipangie cha kufanya?

Kwasasa nafahamu sio kocha anaendaa kikosi cha kwanza hilo nafahamu wazi kwa kocha mahiri aliyeifanya kazi yake kwa muda mrefu ni ngumu kukubaliana na hiyo hali..

Niwe Mkweli mmiliki wa timu mara zote huniita kabla ya mchezo na baada ya mchezo nilikuwa nazungumza nae na mara nyingi alikuwa akihitaji kuona kikosi kinachoanza na nnamwambia hapana subiri mchezo ufike na baada ya hapo niliwambiwa napaswa kuwa makini..

Haikuchukuwa muda baada ya wiki nilifahamu michezo yote ndani ya timu kwanzia kwenye uongozi mpaka kulazimishwa kuwachezesha baadhi ya wachezaji na nikafahamu ni watu wa aina gani?

Mara nyingi walikuwa wanajaribu kuwafuata wasaidizi wangu na kufahamu nimempanga nani kwanzia madakitari wa Timu na wiki yangu ya kwanza tu kwenye kuiandaa timu nilimfukuza msaidizi wangu kwasababu nilijua anatumika na uongozi na baada ya hapo nikamchukuwa Denis Kitambi

Kuna watu wapo Singida zaidi ya miaka 6 hivyo mawazo yangu nilijua hii klabu inaenda kukua sana na niseme wazi tu kuwa Mmiliki wa timu hana watu sahihi wa kuiongoza timu yake

Aliyewahi kuwa kocha wa Singida Black Stars Patric Aussems amezungumza haya leo, Februari 19, 2025 kwenye kituo cha Crown FM.

Pia soma Kocha Aussems (Uchebe) aibua mazito: Wachezaji wa Singida hawakufurahishwa na kikosi kisicho cha ushindani dhidi ya Yanga
😏😏😏
 
Kwani mmiliki wa hii timu ya Singida BS ni nani asiyetajwa kwa jina na alipata wapi pesa za kuanzisha na kuendesha timu hiyo?
Maana kila uchafu tunausikia huko, mara awape uraia wa magumashi wachezaji wake, mara udanganyifu kwenye michezo yake.
Mtajeni tumjue
 
KAMA WATU WANGEJUA KUFANYAKAZI/KUTAFUTA HELA KAMA WANAVYOTUMIA AKILI NA MUDA KWA MAMBO YA AJABU AJABU, HII NCHI INGEFIKA MBALI SANA!!!
 
Sasa Simba chagueni wenyewe siku ya kucheza na Yanga timu apange (Mo) mwenye timu au apange Fadru.
 
Bahati nzuri Mmiliki alipanga kikosi ilichotoa ushindani wa kutosha katika mechi ya kwanza dhidi ya Yanga Chini ya Uchebe.

Mpaka sasa hakuna mechi iliyochezwa kwa ushindani na kasi ya haliya juu zaidi ya Mechi ya kwanza ya Singida vs Yanga iliyopelekea mpaka Makocha wapigane.

Ni bora kikosi awe anapanga mmiliki na kocha asubiri.
Nami nashangaa aisee, ile mechi tena ilipelekwa Zanzibar. Ilikuwa ngumu ajabu. Hao makolo waliwapiga kilaini sana Hawa Singida tena kwako. Sio ajabu waliitwa mbumbumbu.
 
Hakuna jipya hapo. Maana ishu ya kocha kushinikizwa kupanga baadhi ya wachezaji, hata Ulaya ipo! na hasa kama kocha huaminiki kwenye timu, au una ubaguzi wako wa kipuuzi dhidi ya baadhi ya wachezaji!
 
Back
Top Bottom