Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha

Kile alipanga kocha ndio maana alifukuzwa baada yakuleta upanzani mkali kwa yanga
 
😏😏😏
 
Kwani mmiliki wa hii timu ya Singida BS ni nani asiyetajwa kwa jina na alipata wapi pesa za kuanzisha na kuendesha timu hiyo?
Maana kila uchafu tunausikia huko, mara awape uraia wa magumashi wachezaji wake, mara udanganyifu kwenye michezo yake.
Mtajeni tumjue
 
KAMA WATU WANGEJUA KUFANYAKAZI/KUTAFUTA HELA KAMA WANAVYOTUMIA AKILI NA MUDA KWA MAMBO YA AJABU AJABU, HII NCHI INGEFIKA MBALI SANA!!!
 
Sasa Simba chagueni wenyewe siku ya kucheza na Yanga timu apange (Mo) mwenye timu au apange Fadru.
 
Nami nashangaa aisee, ile mechi tena ilipelekwa Zanzibar. Ilikuwa ngumu ajabu. Hao makolo waliwapiga kilaini sana Hawa Singida tena kwako. Sio ajabu waliitwa mbumbumbu.
 
Hakuna jipya hapo. Maana ishu ya kocha kushinikizwa kupanga baadhi ya wachezaji, hata Ulaya ipo! na hasa kama kocha huaminiki kwenye timu, au una ubaguzi wako wa kipuuzi dhidi ya baadhi ya wachezaji!
 
Inasikitisha sana, inaharibu taswira ya soka letu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…