Message send and delivery
Kwani taarifa ipi imesema amekufa kwa corona?Moderators taarifa za kama mtu kafa kuanzia sasa ziambatane na death certificate ambayo itaonyesha cause of death as cerified by the doctor ili huu upuuzi wa kila mtu kuzusha marehemu kafa kwa Corona ufikie ukomo
Haya weka death certificate yake hapa piga picha weka
Vipimo vitatoka kwenye maabara ipi ile ile inayopima papai na oil za magari na kutoa majibu positive??Waandishi wa habari kuanzia sasa epukeni kuandika au kutangaza ohhh sijui mtu kafa kwa tatizo la kupumua au Corona bila kuona death certifcate you need to be proffessional in your reporting fani yenu isidharaulike kuwa you cant quote anybody without concrtete verifiable legal evidence
Sawa tichaMessage sent and delivered.
Siyo 'send' and 'delivery'
Kwani tatizola kupumua ndio corona?mleta mada kasema kafa kwa tatizo la kupumua ndio maana namtaka aweke death certificate ya kuthibitisha hilo
Umeitaja corona hapo, wapi yeye amesema amekufa kwa corona?Moderators taarifa za kama mtu kafa kuanzia sasa ziambatane na death certificate ambayo itaonyesha cause of death as cerified by the doctor ili huu upuuzi wa kila mtu kuzusha marehemu kafa kwa Corona ufikie ukomo
Haya weka death certificate yake hapa piga picha weka
Umejaa ubwegeissue hujalewa Daktari ndie anatakiwa kuandika kwenye death Certificate kuwa kilichomwua ni nini huwezi kujiibukia tu ukasema tatizo la kupumua ndilo lilimwua!!! onyesha death certificate tuione inasemaje
Ndo itapunguza kasi ya vifo?TCRA nawaomba walazimisheni Vyombo vyote vya habari viwe online or otherwise kutangaza cause ya kifo wawe wameona death certificate.Vinginevyo wachukulieni hatua ili journalism iwe proffessional
U are kidding Bro, Daktari aliye chini ya Dr. Ngwajima (Field Marshall) anapata wapi hiyo guilt ya kuandika sababu ya kifo kuwa no Corona?Daktari ndio mwenye majibu kama ni tatizo la kupumua au lingine yaweza kuwa presha ya kupanda au kushuka au kakabwa na mfupa kooni akila samaki au nyama nk huwezi jitamkia tu ohh tatizo la kupumua umempima na vipimo vya kidaktari? ndio maana Daktari pekee ndie mwenye authority ya kutamka tatizo nini
Endelea tu kuimba nyimbo za kusifu na kumuabudu Jiwe boss wako Jiwe saikatriki kesi ndio chanzo cha vifo vyote hivi , endeleeni tu kumuimbia mapambio ya kusifu na kuabudu utopolo .Lala salama Kisembo
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Hao wanaojazana kwenye mwendokasi na daladala na pantonj umeona wakifa na Corona?Ukweli ni kwamba uzingatifu wa kujilinda haupo unapunguzwa na ninyi mnaowaamisha wananchi kwamba Corona hakuna na mnakaidi kufuata kanuni za afya, reference ni;
1. Mwendokasi yanavyojaza
2. Pantoni zinavyojaza bila kuwa na tahadhari
3. Daladala zinvyojaza
Ila wewe ni mataga humu unajulikanaLala salama Kisembo
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Mataga ndio niniIla wewe ni mataga humu unajulikana
Nyumbu wa polepole wasioona tuendakoMataga ndio nini
HaujitambuiWatu walikua wanakufa toka zamani. Ila sasa hivi hata akifa mtu wa kawaida tu wanapost then wanaichomeka corona katikati.. hao ni chadema wanatafuta pa kutokea. Corona ipo lakini sio kiivyo kama chadema na wapuuzi wenzao wanavyoipa kik... nb. Rest in piece. Sis wote ni marehemu watarajiwa
Ngiore iyakanyi chanecha mshikiPoleni wafiwa.
Tafuneni hiyo mi Madagascar kwetu linaitwa iyombo.
Sasa kama huna Utamaduni wa Kusoma Magazeti au hata tu Kusikiliza Redio na Kutizama Luninga au kuwa Mtu wa Kujichanganya na Mfuatiliaji wa Masuala Mtambuka ungemjuaje Marehemu?I have never come accross with the name.
Mungu afariji wafiwa