TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

Moderators taarifa za kama mtu kafa kuanzia sasa ziambatane na death certificate ambayo itaonyesha cause of death as cerified by the doctor ili huu upuuzi wa kila mtu kuzusha marehemu kafa kwa Corona ufikie ukomo

Haya weka death certificate yake hapa piga picha weka
Kwani taarifa ipi imesema amekufa kwa corona?
 
Waandishi wa habari kuanzia sasa epukeni kuandika au kutangaza ohhh sijui mtu kafa kwa tatizo la kupumua au Corona bila kuona death certifcate you need to be proffessional in your reporting fani yenu isidharaulike kuwa you cant quote anybody without concrtete verifiable legal evidence
Vipimo vitatoka kwenye maabara ipi ile ile inayopima papai na oil za magari na kutoa majibu positive??
 
Moderators taarifa za kama mtu kafa kuanzia sasa ziambatane na death certificate ambayo itaonyesha cause of death as cerified by the doctor ili huu upuuzi wa kila mtu kuzusha marehemu kafa kwa Corona ufikie ukomo

Haya weka death certificate yake hapa piga picha weka
Umeitaja corona hapo, wapi yeye amesema amekufa kwa corona?
 
issue hujalewa Daktari ndie anatakiwa kuandika kwenye death Certificate kuwa kilichomwua ni nini huwezi kujiibukia tu ukasema tatizo la kupumua ndilo lilimwua!!! onyesha death certificate tuione inasemaje
Umejaa ubwege
 
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.



Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.




Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
 
TCRA nawaomba walazimisheni Vyombo vyote vya habari viwe online or otherwise kutangaza cause ya kifo wawe wameona death certificate.Vinginevyo wachukulieni hatua ili journalism iwe proffessional
Ndo itapunguza kasi ya vifo?

Ukweli ni kwamba uzingatifu wa kujilinda haupo unapunguzwa na ninyi mnaowaamisha wananchi kwamba Corona hakuna na mnakaidi kufuata kanuni za afya, reference ni;
1. Mwendokasi yanavyojaza
2. Pantoni zinavyojaza bila kuwa na tahadhari
3. Daladala zinvyojaza
4. Kwenye maeneo ya kutolea huduma hakuna ku-observe socail distancing mtu akidhubutu kufanya ivo anachukuliwa hatua kwa uzushi kwamba kuna Corona
5. Uvaaji wa Barakoa ni marufuku kwenye mikusanyika ref. Madiwani Moshi.

U guys muelewe kuwa hii kitu haichagui, haina mwanasiasa, msomi wa PhD, Professor wala chokambaya.

Bad enough viongozi wetu wengi wa nchi hii ni watu wazima (old age) ambao wengi wao kinga zimeanza kupungua kwa sbb ya umri wao...chondechonde suala la kuzingatia kanuni zq afya na kujilinda kwa ujumla zianzie kwenu wanasiqsa kama ambavyo mmekuwa good influencer kwenye masuala mtambuka ya ulipaji kodi etc....

JITIHADA ZA KUJILINDA NA COVID-19 NI ZAKO BINAFSI JILINDE SASA!!
 
Daktari ndio mwenye majibu kama ni tatizo la kupumua au lingine yaweza kuwa presha ya kupanda au kushuka au kakabwa na mfupa kooni akila samaki au nyama nk huwezi jitamkia tu ohh tatizo la kupumua umempima na vipimo vya kidaktari? ndio maana Daktari pekee ndie mwenye authority ya kutamka tatizo nini
U are kidding Bro, Daktari aliye chini ya Dr. Ngwajima (Field Marshall) anapata wapi hiyo guilt ya kuandika sababu ya kifo kuwa no Corona?
 
Lala salama Kisembo
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Endelea tu kuimba nyimbo za kusifu na kumuabudu Jiwe boss wako Jiwe saikatriki kesi ndio chanzo cha vifo vyote hivi , endeleeni tu kumuimbia mapambio ya kusifu na kuabudu utopolo .
 
Ukweli ni kwamba uzingatifu wa kujilinda haupo unapunguzwa na ninyi mnaowaamisha wananchi kwamba Corona hakuna na mnakaidi kufuata kanuni za afya, reference ni;
1. Mwendokasi yanavyojaza
2. Pantoni zinavyojaza bila kuwa na tahadhari
3. Daladala zinvyojaza
Hao wanaojazana kwenye mwendokasi na daladala na pantonj umeona wakifa na Corona?

Hao mnatuhumu kufa kwa Corona ni wazingatia masharti hawapandi na kujazana kwenye daladala wala mwendokasi wana magari yao binafsi na nafasi nzito kwenye jamiini watu wa social diistancing!!!! barakoa kama kawa na unawaji mikono kwao hawajaanza leo!!!

Mbona vifo vingi sio vya wabanana mwendo kasi na daladala na panton?

Hawa mnaosema wanakufa kwa corona sio watu rahisi kuipata sababu wengi si sehemu ya wakaa uswahilini na kwenye mirundikano

Watu wanakufa kwa maradhi yao waliyonayo ena mengine ya aibu ila sasa hivi huwezi sikia mtu kafa kwa ukimwi visingizio vyote vinapelekwa kwenye Corona ili mtu apewe kaheshima asikokuwa nako!!!! ohh kafa kwa Corona kumbe ukimwi!!!

Tuwe wakweli Corona ingekuwepo mitaani kungekuwa vilio kila kona watu wanabanana kwenye mwendokasi,daladala,panton masokoni nk
 
Watu walikua wanakufa toka zamani. Ila sasa hivi hata akifa mtu wa kawaida tu wanapost then wanaichomeka corona katikati.. hao ni chadema wanatafuta pa kutokea. Corona ipo lakini sio kiivyo kama chadema na wapuuzi wenzao wanavyoipa kik... nb. Rest in piece. Sis wote ni marehemu watarajiwa
Haujitambui
 
Watu wanaondoka jamani.Kwanini wataalamu wa afya wasiachiwe kufanya kazi yao bila kuingiliwa taaruma yao? Ni ukweli usio fichika hii kitu ipo leo hii tuna msiba wa kitu hiyo hiyo hapa jirani yetu Hadi Sasa hatuwezi kwenda kumfariji sababu ya hii kitu inayo itwa nimonia kali
 
I have never come accross with the name.
Mungu afariji wafiwa
Sasa kama huna Utamaduni wa Kusoma Magazeti au hata tu Kusikiliza Redio na Kutizama Luninga au kuwa Mtu wa Kujichanganya na Mfuatiliaji wa Masuala Mtambuka ungemjuaje Marehemu?

RIP Patrick Kisembo na pole nyingi kwa Wanafamilia wake na Wadau pamoja na Wadaawa ( Wana Tasnia ) nzima.
 
Back
Top Bottom