Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikaweka kiulizo kana kwamba unapowataja Maestro hao niliowaorodhesha je nimuweke na yeye?
Then umenishauri nimuweke Sir Paul Scholes well ntamuweka.
Je na Sir mwenzie Elton John?
Chondechonde mkuu,usiweke picha ya mwili wa marehemu hapa,maana ni makosa makubwa kwa M/mungu na kwa maiti yenyewe kuidhalilisha.kwa ufupi mwili wa mafisango unaonekana kubondeka kwenye paji la uso yaani pamebonyea. na mdomoni pametapakaa damu. inaonekana alipata majeraha ya kichwa.
Chondechonde mkuu,usiweke picha ya mwili wa marehemu hapa,maana ni makosa makubwa kwa M/mungu na kwa maiti yenyewe kuidhalilisha.
Chondechonde mkuu,usiweke picha ya mwili wa marehemu hapa,maana ni makosa makubwa kwa M/mungu na kwa maiti yenyewe kuidhalilisha.kwa ufupi mwili wa mafisango unaonekana kubondeka kwenye paji la uso yaani pamebonyea. na mdomoni pametapakaa damu. inaonekana alipata majeraha ya kichwa.
Tatizo siyo roho nyepesi wala roho ngumu,tatizo hapa ni kwamba ni makosa makubwa kwa M/mungu!Mkuu jf ndo sehemu ya kuongea kila kitu. nitaweka tahadhali mwenye roho nyepesi asiangalie.