figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Patrick Gululi Mbozu
Tanzia: Patrick Mbozu Diwani wa Isanzu (CCM), afariki Dunia
Mzee Patrick ametutoka usiku wa leo. Alikuwa anasumbiwa na Maradhi kwa mda mrefu, alilazwa Hospitali ya Bugando Mwanza, ni diwani kutoka CCM pia alikuwa ni mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Nzega katika Uongozi wa awamu ya nne.
Amefia Hospitali ya Wilaya ya Nzega.
Apumzike mahali pema peponi
NB: Kwa leo mvua ni nyingi inanyesha, habari zaidi mtazipata kesho kukikucha.
Marehemu ni Baba Mzazi wa John Patrick Mbozu ambaye ni Katibu wa Mambo ya Nje wa chama cha ACT Wazalendo.