tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 781
Mungu anatukumbusha kuwa sisi sote ni tunathamani sawa mbele zake bila kujali nguvu za kifedha au za kimamlaka tulizonazo
Pia,hapa Mungu Mwenye-enzi anakuwa amewakumbusha watu wa upande fulani maumivu waliyonayo watu wa upande mmoja,kumbuka kupigwa risasi kwa Acquilina,Lissu,Kukatwa kwa mapanga kwa Alphonce Mawazo,na wengineo wengi na wengine issues zao haziripotiwi,pia kumbuka watumishi kutokupanda madaraja,kufungiwa kwa biashara mbalimbli na anguko la uchumi plus kukosekana kwa ajira,watumishi kukatwa na board huku wakiwa hawajapanda madaraja wala kupata increments
Mnaweza kuona kama nilichoandka hakina uhusiano na msiba huu lkn kumbuka amekufa m2 ambaye yupo kwenye system anayoleta maumivu yote haya kwa wananchi na tunapoumia wao huwa hawayahisi maumivu ye2 lakn namshukur Mungu kwa kutukumbusha sisi site ni sawa mbele zake...,kama ambavyo sote tutakufa basi vivyo hivyo sote tuna mahtaji sawa kama vile Uhuru wa kuongea,Uhuru wa kupata habar (kumbuka issue ya Bunge live),Uhuru wa kuishi (kumbuka kifo cha Acquilina,kupigwa risasi kwa Lissu and others)
Kwa mapenzi yake Mungu amuweke pale anapoona kuwa ni sahihi!