figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
huyu nilimfahamu akiwa ulanga mahenge wakati huo akiwa manager wa bank alikua mtu mwema sanaTunawatakia ma ziko mema
Poleni sanahuyu nilimfahamu akiwa ulanga mahenge wakati huo akiwa manager wa bank alikua mtu mwema sana
Kwa leo mvua inanyesha, sasa mvua inahusiana nini na msiba hadi useme taarifa kamili tutazipata kesho?? Pole familia, pole wananchi na ccm kwa ujumla wake.Tanzia: Patrick Mbozu Diwani wa Isanzu (CCM), afariki Dunia
Mzee Patrick ametutoka usiku wa leo. Alikuwa anasumbiwa na Maradhi kwa mda mrefu, alilazwa Hospitali ya Bugando Mwanza, ni diwani kutoka CCM pia alikuwa ni mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Nzega msimu katika Uongozi wa awamu ya nne.
Apumzike mahali pema peponi
NB: Kwa leo mvua ni nyingi inanyesha, habari zaidi mtazipata kesho kukikucha.