Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 583
- 590
Kweli huyu dada vipindi vyake havinogi na hajui kuvinogesha na hata audience wanaboa..kuna maswali mengi zaidi angeweza kunogesha he's inspiring guy lakini Mboni ameshindwa kumtoa guest wake kutoka kwenye ile hali ya kazi na kuja hali ya u-talk show sijui kama umeona hilo.. Na unamsalimiaje mtu kwenye show 'Mambo' Inabidi aangalie show nyingi sana za Africa na za nje ila Kijana kajitahidi kukeep focus ya show.Angefanya research zaidi ya huyu jamaa na kumpiga maswali ya ukweli .
lakini Jamaa kaongea vizuri ndio tafauti na msomi na typical mbongo ambaye angeongeza you know you know nyingi kama dada yetu hapo chini...
Na mfano mwingine wa interview mbovu ni huyu mwanamuziki mashahuri ambaye alishindwa kujipanga

Last edited by a moderator: