Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Big up Patrick Ngowi.
Interview yake na Mboni alikuwa kama muoga muoga hv kiasi ila ilihamasisha vijana wengi kwenye kusaka mafanikio
 
Hello guys

Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa kwenye interview za mboni talk show na the scoop. so he was quite a celebrity.

Pamoja na hayo jamaa sijaona akishobokea mademu wakali wa bongo movie, wala kuonesha burungu za hela au kula bata kwenye social media, jamaa yupo kiofisi ofisi zaidi.

Akina idriss walivoshinda 300,000usd walisumbua hapa mjini, majjizo baada ya kupata mafanikio kidogo keshaanza kumdate lulu, dallas baada ya kupata mabilioni ya shillingi yoote yaliishia kwa wolper na gold diggers.

Nadhani patrick ngowi ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sisi vijana.
Mdau kila mtu ana uhuru na utafutaji na matumizi yake,yaani huo ni uhuru mkubwa sana,sasa wote wawe kama ngowei?au wote wawe km majizzo?nope
 
Ishu inakuja kama hujazoea pesa nyingi, ukizipata unakuwa kwenda wazimu, hapo idris kalipata m500 za kibongo sitashangaa kama zimeisha mana katafunwa sana na wema saizi kayemwa ptuuu saizi anatangaza kazi ya laki kadhaa kwa mwez .. Sheria Ngowi pesa ile amehustle na anaijua longtime
 
1475179345265.jpg
1475179352899.jpg
 
Cha msing ni mafanikio.. kujitangaza ni tabia za watu
 
Back
Top Bottom