Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Big up Patrick Ngowi.
Interview yake na Mboni alikuwa kama muoga muoga hv kiasi ila ilihamasisha vijana wengi kwenye kusaka mafanikio
 
Mdau kila mtu ana uhuru na utafutaji na matumizi yake,yaani huo ni uhuru mkubwa sana,sasa wote wawe kama ngowei?au wote wawe km majizzo?nope
 
Ishu inakuja kama hujazoea pesa nyingi, ukizipata unakuwa kwenda wazimu, hapo idris kalipata m500 za kibongo sitashangaa kama zimeisha mana katafunwa sana na wema saizi kayemwa ptuuu saizi anatangaza kazi ya laki kadhaa kwa mwez .. Sheria Ngowi pesa ile amehustle na anaijua longtime
 
Cha msing ni mafanikio.. kujitangaza ni tabia za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…