Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Klabu ya Soka ya CrystalPalace imemfuta kazi Patrick Vieira baada ya kuhudumu kwa miezi 20 kufuatia kipigo chao cha 1-0 dhidi ya Timu ya Brighton
Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Steve Parish amesema matokeo ya Miezi ya hivi karibuni yamewaweka katika nafasi mbaya ya ligi kuu ya England, EPL, hivyo mabadiliko ni muhimu ili kuwapa nafasi nzuri zaidi ya kubaki na hadhi ya Ligi Kuu