Patrick Vieira atimuliwa Crystal Palace

Patrick Vieira atimuliwa Crystal Palace

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
IMG_3729.jpg

Klabu ya Soka ya CrystalPalace imemfuta kazi Patrick Vieira baada ya kuhudumu kwa miezi 20 kufuatia kipigo chao cha 1-0 dhidi ya Timu ya Brighton

Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Steve Parish amesema matokeo ya Miezi ya hivi karibuni yamewaweka katika nafasi mbaya ya ligi kuu ya England, EPL, hivyo mabadiliko ni muhimu ili kuwapa nafasi nzuri zaidi ya kubaki na hadhi ya Ligi Kuu
 
View attachment 2555090

Coaches are hired to be fired
 
Duh ..Vieira alikua mwamba sana ni vile tu upepo haujamwendea sawa, alikua anatusumbua sana City huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom