Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Coaches are hired to be firedView attachment 2555090
Klabu ya Soka ya CrystalPalace imemfuta kazi Patrick Vieira baada ya kuhudumu kwa miezi 20 kufuatia kipigo chao cha 1-0 dhidi ya Timu ya Brighton
Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Steve Parish amesema matokeo ya Miezi ya hivi karibuni yamewaweka katika nafasi mbaya ya ligi kuu ya England, EPL, hivyo mabadiliko ni muhimu ili kuwapa nafasi nzuri zaidi ya kubaki na hadhi ya Ligi Kuu
Palace walikuwa hivyohivyo kabla hata ya Vierra.Viera alijaza maniga watupu asingetoboa
Maniga bila kuwachanganya na wazungu wanakuharibia shuuuli
Hajaondoka EPL bali timu ya EPL ndiyo imemuondoa kazi so bado nafasi ipo.Ni upepo tu umemkataa...ila hii Palace ameanza nayo vizuri tu.
Nimesikitika sana mweusi mwenzetu kuondoka EPL