Bundilya2023
New Member
- Dec 6, 2022
- 1
- 8
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.
Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele kukatwa ma kisha kuchaguliwa Katambi.
Mbeleko ya Hayati Rais John Magufuli kwa katambi kwenye ubunge wa Shinyanga Mjini ndio ulimbeba Katambi lakini inafahamika kipenzi na chaguo la wana Shinyanga alikuwa ni Stephen Masele.
Hivi karibuni Katambi aliitisha mkutano wa kumfagilia Rais Samia kama njia mojawapo ya kujipendekeza asipigwe chini kwenye nafasi ya uwaziri na mbeleko ya ubunve 2025 lakini turn out ya watu imedhihirisha kuwa hatakiwi na wakazi wa Shinyanga Mjini.
Katambi pamoja na kutumia vibaya jina la Rais Samia ili apate watu kwenye mkutano ameishia kutia aibu kwa kukosa watu kabisa . Eti “Samia day” Katambi aambiwe aache kudhalilisha jina la Mheshimiwa Rais wetu kipenzi.
Katambi aelezwe kuwa Shinyanga Mjini hatakiwi ukiangalia hizi picha ni kama mkutano wa mwenyekiti wa kitongoji Hii na bado asubiri 2025 atakapoondolewa kwa aibu.
Mwisho..
Angalia picha chini mkutano ulioitishwa na Katambi hivi karibuni ili kujipendekeza kwa Rais Samia.