King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ronaldinho Minjino Kalai anavuna alichopanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 10 inamtosha apishe wenginePatrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea...
Wananchi baada ya hizi shida za tozo, umeme na maji CCM itakuwa na wakati mgumu snShinyanga Mjini ni baadhi ya majimbo yaliyotakiwa kwenda Chadema 2020, kama isingekuwa zile rafu za makusudi walizocheza CCM.
Naamini 2025 wapo wabunge wa CCM watakaolia kilio kile kile walicholia wapinzani 2020, labda mama yao awabebe, ni suala la muda tu.
Yaani Katambi keshamchagulia Maza team...!? Maza asipowapangua watu wa JPM Atapata shida sana kwenye utawala wake.Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea...
Yeye Samia siyo mtu wa JPM?Yaani Katambi keshamchagulia Maza team...!? Maza asipowapangua watu wa JPM Atapata shida sana kwenye utawala wake.
Yeye ni wa JPM.... Hiyo haina maana lazima awe pamoja nao kwa sasa. Design ya zile siasa za sifa sifa zinaelekea kuchokwa au hazimfai Maza. No wonder hata safari zake za nje haziwi publicized kama mwanzo. Na akirudi anakuja kimya kimya.Yeye Samia siyo mtu wa JPM?
Wabunge wa Magufuli hao. Mkamuamshe sasa awateue tena pumbaavu
Kwa hizi picha watakwambia mbona kuna watu!!😂😂😂Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.
Mwisho..
Angalia picha chini mkutano ulioitishwa na Katambi hivi karibuni ili kujipendekeza kwa Rais Samia.
View attachment 2448473View attachment 2448476
Next time,mwambie awaite wasanii wa bongo fleva singeli bongo movieHizi propaganda za kishamba za chadema haziwezi kumuzuia Katambi kuaatumikia wana Shinyanga.
Na domo lake utazani samaki chuchungi
Tangu lini?Yeye Samia siyo mtu wa JPM?