Patrobas Katambi akumbana na aibu nzito, wananchi washindwa kujitokeza mkutanoni

Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea...
Miaka 10 inamtosha apishe wengine

Tena yote hii ni waziri
 
Chadema ni wazuri sana kwa propaganda
 
Wananchi baada ya hizi shida za tozo, umeme na maji CCM itakuwa na wakati mgumu sn
 
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea...
Yaani Katambi keshamchagulia Maza team...!? Maza asipowapangua watu wa JPM Atapata shida sana kwenye utawala wake.
 
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.

Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele kukatwa ma kisha kuchaguliwa Katambi.

Mbeleko ya Hayati Rais John Magufuli kwa katambi kwenye ubunge wa Shinyanga Mjini ndio ulimbeba Katambi lakini inafahamika kipenzi na chaguo la wana Shinyanga alikuwa ni Stephen Masele.

Hivi karibuni Katambi aliitisha mkutano wa kumfagilia Rais Samia kama njia mojawapo ya kujipendekeza asipigwe chini kwenye nafasi ya uwaziri na mbeleko ya ubunve 2025 lakini turn out ya watu imedhihirisha kuwa hatakiwi na wakazi wa Shinyanga Mjini.

Katambi pamoja na kutumia vibaya jina la Rais Samia ili apate watu kwenye mkutano ameishia kutia aibu kwa kukosa watu kabisa . Eti “Samia day” Katambi aambiwe aache kudhalilisha jina la Mheshimiwa Rais wetu kipenzi.

Katambi aelezwe kuwa Shinyanga Mjini hatakiwi ukiangalia hizi picha ni kama mkutano wa mwenyekiti wa kitongoji Hii na bado asubiri 2025 atakapoondolewa kwa aibu.

Mwisho..
Angalia picha chini mkutano ulioitishwa na Katambi hivi karibuni ili kujipendekeza kwa Rais Samia.

Yeye Samia siyo mtu wa JPM?
Yeye ni wa JPM.... Hiyo haina maana lazima awe pamoja nao kwa sasa. Design ya zile siasa za sifa sifa zinaelekea kuchokwa au hazimfai Maza. No wonder hata safari zake za nje haziwi publicized kama mwanzo. Na akirudi anakuja kimya kimya.
 
Hizi propaganda za kishamba za chadema haziwezi kumuzuia Katambi kuaatumikia wana Shinyanga.
 
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.

Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele kukatwa ma kisha kuchaguliwa Katambi.

Mbeleko ya Hayati Rais John Magufuli kwa katambi kwenye ubunge wa Shinyanga Mjini ndio ulimbeba Katambi lakini inafahamika kipenzi na chaguo la wana Shinyanga alikuwa ni Stephen Masele.

Hivi karibuni Katambi aliitisha mkutano wa kumfagilia Rais Samia kama njia mojawapo ya kujipendekeza asipigwe chini kwenye nafasi ya uwaziri na mbeleko ya ubunve 2025 lakini turn out ya watu imedhihirisha kuwa hatakiwi na wakazi wa Shinyanga Mjini.

Katambi pamoja na kutumia vibaya jina la Rais Samia ili apate watu kwenye mkutano ameishia kutia aibu kwa kukosa watu kabisa . Eti “Samia day” Katambi aambiwe aache kudhalilisha jina la Mheshimiwa Rais wetu kipenzi.

Katambi aelezwe kuwa Shinyanga Mjini hatakiwi ukiangalia hizi picha ni kama mkutano wa mwenyekiti wa kitongoji Hii na bado asubiri 2025 atakapoondolewa kwa aibu.

Mwisho..
Angalia picha chini mkutano ulioitishwa na Katambi hivi karibuni ili kujipendekeza kwa Rais Samia.
 
Attachments

  • Screenshot_20221213-100718.png
    209.9 KB · Views: 5
  • IMG-20221215-WA0004.jpg
    115.5 KB · Views: 5
  • IMG-20221215-WA0003.jpg
    96 KB · Views: 5
  • IMG-20221215-WA0005.jpg
    137.9 KB · Views: 6
  • IMG-20221215-WA0002.jpg
    100.5 KB · Views: 4
Kwa hizi picha watakwambia mbona kuna watu!!😂😂😂
 
Hizi propaganda za kishamba za chadema haziwezi kumuzuia Katambi kuaatumikia wana Shinyanga.
Next time,mwambie awaite wasanii wa bongo fleva singeli bongo movie
Wawepo,watu watajaaa
Sawa....

Ova
 
Hawa jamaa bila wasanii hawapati hata mtu mmoja kwenye mikutano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…