Patrobas Katambi akumbana na aibu nzito, wananchi washindwa kujitokeza mkutanoni


Huyu katambi Wala hakushinda Shinyanga , bali alipigwa Chini na madam salome makamba. Hana haiba ya uongozi,l nashukuru aliondoka CHADEMA.
 
Dah.....isijekuwa watu wameichoka hiyo siku .... 😎
 
Watavuna wanachopanda.
 
Mbona kajaza sana,tena hiki kipindi cha kilimo,nenda Geita ukahudhurie mkutano wa Kanyasu,huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…