Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemtuma kuja kumsifia,hakuna la maana anafanyaHuyu yuko kwenye postion gani kwa sasa?
Wasalaam,
Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.
Huyo ni mmoja wa watumishi wa dialloWasalaam,
Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.
Amefanya nini? Huyo si mchumia tumbo tu! Si walionunuliwa mapema kabisa na mwenndazake. Yeye na Mwita Waitara. Njaa tu hakuna lolote.Wasalaam,
Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na Manaibu Waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.
Jina lenyewe la mleta mada ni kama limelenga kuleta habari zamhusika, maana yake habari za mhusika, Kat, Petr.Amemtuma kuja kumsifia,hakuna la maana anafanya
NEWSINKP : ngoja tuidadavue hapa.Jina lenyewe la mleta mada ni kama limelenga kuleta habari zamhusika, maana yake habari za mhusika, Kat, Petr.
Hahaha GAUCHO MINJINO.Mwambie kwanza akapate matibabu ya mdommo
YapHahaha GAUCHO MINJINO.