Kweli, nakuunga mkono 100% so far anafanya vizuri sana.Wasalaam,
Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.