Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi ila he does his best.
hana kitu huyu jamaa ni mpuuzi tupu aliyekuwa akichukua malaya pale CDA Club kwa buku 3
kwao kalazimishwa kura kwani alianguka vibaya, safari hii akaombe tena km ataambulia