Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha Kwanza alichofanya na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma.
Kauzeni Dhahabu acheni kutupigia kelele.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia.
Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha Kwanza alichofanya na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma.
Shida ya ccm wanatuona wananchi mapoyoyo sana.Aliwahi kuandika Jenerali ulimwengu.." baadhi yao wana akili za kawaida sana, wengine wamefika hapo kutokana na ajali za kihistoria, lakini leo wanataka kutuaminisha wana akili na uwezo mkubwa"
Ngoja tu tuuze maana hta ela ya mishahara hatunaKauzeni Dhahabu acheni kutupigia kelele.