Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia.

Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha Kwanza alichofanya na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma.
 
Kauzeni Dhahabu acheni kutupigia kelele.
 
Aliwahi kuandika Jenerali ulimwengu.." baadhi yao wana akili za kawaida sana, wengine wamefika hapo kutokana na ajali za kihistoria, lakini leo wanataka kutuaminisha wana akili na uwezo mkubwa"
 
Aliwahi kuandika Jenerali ulimwengu.." baadhi yao wana akili za kawaida sana, wengine wamefika hapo kutokana na ajali za kihistoria, lakini leo wanataka kutuaminisha wana akili na uwezo mkubwa"
Shida ya ccm wanatuona wananchi mapoyoyo sana.

Kuteka watu wafanye wao, kuuwa watu waue wao, kulawiti watu na kuwafungulia kesi za uongo wafanye wao, kuiba uchaguzi na kulazimisha kutawala wananchi kwa mabavu wanafanya wao alafu yakitokea matokeo ya huo udhalimu wao wanasingizia mitandao mara mabeberu.

Hawa watu kweli ni wapumbavu waliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…