Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Hivyo hana..jina lenyewe kapata mwezi uliopita....mpe kazi afanyeWeka na Extract, TIN, CRB na Leseni tuone kwanza .......
Ninaendelea na ujenzi wa nyumba hiyo foundation imekula 19mMjengo kama huo kwenye ardhi ya kichanga tambarare ina range kwenye kiasi gani?
OkayNinaendelea na ujenzi wa nyumba hiyo foundation imekula 19mView attachment 1755653View attachment 1755657View attachment 1755657
Hehehe wateja wavaa tai mna mbwembwe kweliWeka na Extract, TIN, CRB na Leseni tuone kwanza .......
Karibuni
Bei inategemeana na mchoro unaoenda kuujenga. KaribuMbona hujaweka bei babaa
Ahsante. Ila penye mapungufu turekebishane mkuu.ila wee jamaa seriousness ni zero, sifuri, yaan 0.
Karibuni
View attachment 1762172View attachment 1762180
Hiyo utajenga kwa kiasi gani?
Kigamboni tambarare kichanga.
Makuu, habari za leo?View attachment 1762172View attachment 1762180
Hiyo utajenga kwa kiasi gani?
Kigamboni tambarare kichanga.