Paul Building Agency watakujengea nyumba ya kisasa kwa bei poa kabisa

Paul Building Agency watakujengea nyumba ya kisasa kwa bei poa kabisa

Makuu, habari za leo?
Kwa Sasa Kuna njia mbili za kukamilisha project.

1. Njia ya mkataba ambapo fundi anasuply material.

2. Ambapo client anasuply material fundi analipwa labour.

Nitajitahidi nikupe quotation zote mbili.

Ahsante
1) Mikoani mnafanya kazi?
2) Gharama za ujenzi (Labour) mnachaji asilimia ngapi ya gharama za vifaa kwa ujenzi wa hatua ya Msingi hadi Lenta?
 
1) Mikoani mnafanya kazi?
2) Gharama za ujenzi (Labour) mnachaji asilimia ngapi ya gharama za vifaa kwa ujenzi wa hatua ya Msingi hadi Lenta?
Karibu, mikoani tunafika.

Kuhusu kucharge labour inategemeana na nature ya kazi mara nyingi inakuwa negotiable. Charge zetu za kawaida ni 30% ya gharama ya materials.
 
IMG_20210401_172203_103.jpg
 
Karibu, mikoani tunafika.

Kuhusu kucharge labour inategemeana na nature ya kazi mara nyingi inakuwa negotiable. Charge zetu za kawaida ni 40% ya gharama ya materials.
Kwa hiyo nikinunua choo cha million 3 ina maana utakifix kwa 1.2?
 
Inategemeana na nature ya kazi. Nadhani hukuielewa vizuri hiyo statement. Karibu
eeh sema nature ya kazi lakini sio percentage ya price ya materials maana wengine wanaweza taka weka choo cha dhahabu cha million 20 alafu vipo vitatu sii mzee unatajirika fasta 😂😂😂😂😂😂

una sample zozote za two bedroom house?
 
Mnafanya kazi kama kampuni au? If yes, naomba muweke nyaraka zifuatazo:-

1. Cheti cha usajili wa kampuni( certificate of incorporation)

2. Leseni ya biashara( business license)

3. Cheti cha namba ya mlipa kodi( TIN)

4. Cheti cha kujiunga na CRB

5. CV za wataalamu wenu.

6. Wateja angalau 10 mliofanya nao kazi na muwe na barua za appreciation au recommendations.
 
Back
Top Bottom