Paul Chacha: Kuwanyima watu haki kunajenga tabaka baya katika jamii, chama kitahakikisha wanachama wake wanapata haki, uhuru na usalama

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema kunyima watu haki kunajenga tabaka baya katika jamii, akisisitiza kuwa chama kitahakikisha wanachama wake wanapata haki, uhuru na usalama.

Akizungumza wakati wa hafla ya mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa katika ofisi za chama jijini Dodoma leo Agosti 6, 2026, Chacha amesema uongozi wa CCM hautaruhusu mtu yeyote kunyang'anywa haki zake.

"Tutawatendea haki wanachama wa Chama cha Mapinduzi kwa kuwahakikishia uhuru, usalama na haki zenu kulindwa. Hatutaruhusu hata siku moja haki ya mtu kunyang'anywa," amesema Chacha.
 
View attachment 3644428

Kwa hiyo wanajua hayo. Sasa mbona anawahakikishi tu wanachama wake .... vipi Watanzania wasiyo wana CCM!?
 
Back
Top Bottom