The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Huyu jamaa aliona wanaCCM wenzake wote ni wajinga kushindwa kupambana na HECHE.
Nadhani huko aliko haamini macho na masikio yake. alidhani chadema inatishika kwa kuongea ongea ujingaujinga tu.
Chadema ina nguvu na pumzi ambayo kila mmoja anashangaa ndo maana maCCM yamekabidhi inchi kwa mahakama na police.