The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sisiemu wa zama hizi wengi ni CHAWA, hawawezi kujibu hoja za Upinzani, Polisi na Mahakama ndio wamekuwa wakombozi wao.Nadhani huko aliko haamini macho na masikio yake. alidhani chadema inatishika kwa kuongea ongea ujingaujinga tu.
sureSisiemu wa zama hizi wengi ni CHAWA, hawawezi kujibu hoja za Upinzani, Polisi na Mahakama ndio wamekuwa wakombozi wao.
Vilevile kutetea Uongo huwa inahitaji akili kubwa ya kisiasa kumzidi yule anayesema Ukweli. Na hio ni akili alikuwa nayo Nyerere, kwasasa Sisiemu hamna mwenye hio akili (may be wapo ila hawajapewa nafasi).
Siasa za Tanzania ni Stress tupu.
CCM PUmzi hawanaHuwa wanakuja na kupotea. Yule Mwanri naye kapotea. Kwa Sasa uwanja ni wa CHADEMA sema wanahujumiwa sana.