DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Yanga hawajibizani na wajinga... yanga wamejichimbia wakisubiri game ya champions league dhidi ya Tabora unitedHuyo Mkuu wa Mkoa angekuwa ndiyo yule Mtanda wa Mwanza, kuna watu wangemtukana mpaka basi! Ila kwa sababu mashabiki wa Yanga ni wastaarabu, wamechagua kumpuuza tu mtu wa aina yake.
Hao wachezaji walionunuliwa mlishindwa nini kuwafungulia kesi Yanga na kuwasilisha ushahidi uliopo. Hivi nyie ni wajinga kiasi hiki?Kwenye rushwa Uto nawakubali. Kama waliweza kununua wachezaji wa Simba, sembuse Tabora?
Hahahaha, kumbe,aisee kweli mhasibu uko vzr kibu na mayele ,kibu zaidiKwenye rushwa Uto nawakubali. Kama waliweza kununua wachezaji wa Simba, sembuse Tabora?
wewe na mkuu wa mkoa wote ni SHITHO#LEView attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Wakati huohuo unasubiri mchele wa wajinga watanzania huko kigali,ule ukampige kachabali kichwa panzi mwenzio aliyerefusha kisimi na kuwa kirefu kama dole la katiSio wengi watanzania wote tu wajinga
Hahahaha 😂 🤣Wakati huohuo unasubiri mchele wa wajinga watanzania huko kigali,ule ukampige kachabali kichwa panzi mwenzio aliyerefusha kisimi na kuwa kirefu kama dole la kati
Jinga katika ubora wakeView attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Msemaji ameshafanya yake. Kwamba Tabora United watachacha kama jina lake (RC) lilivyo.Huyo Mkuu wa Mkoa angekuwa ndiyo yule Mtanda wa Mwanza, kuna watu wangemtukana mpaka basi! Ila kwa sababu mashabiki wa Yanga ni wastaarabu, wamechagua kumpuuza tu mtu wa aina yake.
Hii imekaa vizuri. Kama mtu wa cheo chake ameona ajiweke kwenye kundi la kupigana vijembe na mashabiki wa timu ya Yanga, wacha adhalilishwe tu.Msemaji ameshafanya yake. Kwamba Tabora United watachacha kama jina lake (RC) lilivyo.
View attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Naona umeandika kimwiko nyumaHii imekaa vizuri. Kama mtu wa cheo chake ameona ajiweke kwenye kundi la kupigana vijembe na mashabiki wa timu ya Yanga, wacha adhalilishwe tu.
Umeandika kimwiko nyuma sanaNa mbaya zaidi hajagundua kuwa anachemka. RC una mambo ya maana ya kufanya yeye anakesha na media. Issues kama za rushwa PCCB si wapo au wana kazi gani? Ikiliwa kichwa ndo akili zitamkaa.
"Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu"View attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Propaganda zingine zinachekesha sana, eti mtu hata kingereza hakijui halafu mnalazimisha ionekane kiongozi wa Yanga. Haya tuache ya kingereza, mtu kasema opponent want to won a match, sasa ndio nini?Naona umeandika kimwiko nyuma