Paul Clement ashauriwe, Asaidiwe, aombewe!

Nilikuwepo,niliondoka ndo yeye anaimba!
In shot,sijawahi kuwa fan wake,huwa simuelewi
 
Sisi tuliokuwepo hatujaona tatizo shida moja ya paul hajui kuichangamsha hadhira yaani hana vibes nimehudhulia concert ambazo amehudumu kama 3 hiyo ndo shida yake kubwa niliyoiona
Hahaa,hata kuvaa bado! Asaidiwe
 
Mbona yuko vizuri tu, U Mwema umeisikia? Ngoma kali, full upako...na ile chombo kaimba nayo sijui kaitoa wapi
Kaimba na bela kombo,wa bss enzi hizo!
Anaimba gospel sikuhizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…