Paul Kagame, aapa kuiongoza Rwanda kwa mhula wa miaka 5

Rwanda inasifika kwa usalama kuliko nchi yoyote Africa kwa sasa.
🫒🫒🫒
Rwanda imeanza kuitwa new Singapore ya Africa. We baki na ujinga na kuwaonea wivu wafrica wenzako badala kufurahi hatua aliyo piga Rwanda.
Ndugu yangu, hiz sio akil za kikubwa hata kidogo mzee wangu. Ji check vizuri
 
Nenda naye taratibu huyu anaonekana ana hoja za mihemko ile ya kitoto toto
 
Bora ni baki mtoto kwenye akili za kitoto kubwa kuzidi zako, kwanza kuwa na multiple users hio ni dalili ya utoto. Ondoeni chuki Rwanda wamepiga hatua we nenda kauze madafu tu.
 
Nimefatilia mjadala wenu na huyo jamaa anjiita ikulu T naona umemzidi maarifa sana,kikubwa usijibizane na mpumbavu usije ukafanana naye...Inaonekana anajibu kwa mihemuko bila facts..Ni zero brain achana naye
Usilinganishe Tanzania na huo mkoa.
 
Mataifa Makubwa yakiamua Vita havitakuwepo!
Alimaanisha nin?
Mfano wa Israel. America na NATO wasipochochea,hakuna vita.

Ukiona vita sehemu furani,tambua nyuma yake kuna makundi ya watu wasiotaka waonekane wao ndo chanzo.
 
Kwa miaka 30πŸ˜‚πŸ˜‚au huwa hauhesabu muda
Ebu tupige hesabu
2652-539=2113km

2113/30 yrs=70km kila mwaka

Kwaiyo kila mwaka alikua anatengeneza km70???
 
Kwa miaka 30πŸ˜‚πŸ˜‚au huwa hauhesabu muda
Ebu tupige hesabu
2652-539=2113km

2113/30 yrs=70km kila mwaka

Kwaiyo kila mwaka alikua anatengeneza km70???
Kwa nchi kama Rwanda ambayo ni ndogo ni hatua kubwa sana. Nyie inawauma nini wenyewe Rwanda wamekubali kutawaliwa na Kagame. Mpelekeni basi Samia akatawale huko πŸ˜„
 
Kwa miaka 30πŸ˜‚πŸ˜‚au huwa hauhesabu muda
Ebu tupige hesabu
2652-539=2113km

2113/30 yrs=70km kila mwaka

Kwaiyo kila mwaka alikua anatengeneza km70???
Japo sio 30 kamili,lakini hata ukihesabu hivo, CCM ilitakiwa iwe imejenga km ngapi? Hata kwa mapato. Nani anapata pakubwa?

Ifike hatua mkubali kitu kimoja. Anachowazidi ni uzalendo. TZ ingekuwa (viongozi)na uchungu wa maendeleo,hata hizo kina South Africa zingekuwa zinaisikia kwenye media. Ila, hizo nchi zote zinazodai kuendelea, zinatoa wapi? Wanakuja kuiba huku,wanapeleka kwao. Mpaka wakujengee laki km 10, kwao zimeshajengwa km 10,000.

Nadhani alieongelea kuwa mbali, amelinganisha miaka ya vyama viwili madarakani.
Japo pia kuna kitu uelewe,wameongelea usalama. Mfano, gari la mzigo lipinduke Tanzania. Utapata nini? La petrol tu likianguka,moto huku unawaka,wanakimbilia kuchota na kufia hapo hapo. Rwanda gari lako lianguke,ni jukumu la serikali kulinda mali ya mgeni.
Factors za sifa ni nyingi.
Mtu alieoa sura mbaya,mwabie mkeo kimeo uone 🀣🀣🀣
 
Kwa miaka 30πŸ˜‚πŸ˜‚au huwa hauhesabu muda
Ebu tupige hesabu
2652-539=2113km

2113/30 yrs=70km kila mwaka

Kwaiyo kila mwaka alikua anatengeneza km70???
Km 70 za lami,unahisi ni pesa ndogo eh? Hivi,kwa lami ya kiwango cha kimataifa,unajua km 1 haipungui bilioni moja?
 
Km 70 za lami,unahisi ni pesa ndogo eh? Hivi,kwa lami ya kiwango cha kimataifa,unajua km 1 haipungui bilioni moja?
acha upumbavu ww!! nchi nzima itengeneze lami km 70 mwaka mzima useme imepga hatua na kinchi kama mkoa wa tabora
 
rwandwa wanaiba madini wanauza kwq wazungu kivu nzima ulinganishe na ccm inayokusanya kwa wajasirilia mali
 

ukitoa vibaraka na sisi wa mataifa mengine hakuna rai wa Rwanda asiyemuhitaji kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…