Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Afu wemekalia eti anaiba si bora huyo anaoba nje ya nchi sio hao kunguru wanao iba ndani ya Tanzania.ukitoa vibaraka na sisi wa mataifa mengine hakuna rai wa Rwanda asiyemuhitaji kagame.
We dogo rudi shule hata US anaiba mafuta huko Syria na Iraq. Wambie na Tanzania wakaibe. basi.rwandwa wanaiba madini wanauza kwq wazungu kivu nzima ulinganishe na ccm inayokusanya kwa wajasirilia mali
We nae kunguru tu. Kwani alokwambia mwaka mzima wanatengeneza ni nani? Wajinga balaa. Nchi haiwezi kukaa hata miaka 5 bila hiyo shughuli? Haya,hizo za lami kiwango cha kimataifa. Umeuliza za kiwango cha kati ni ngapi? Umeuliza za kiwango cha chini? Umeuliza za mawe? Umeuliza za vumbi? Au utajili wa nchi akilini mwako unapimwa kwa kilomita za lami?acha upumbavu ww!! nchi nzima itengeneze lami km 70 mwaka mzima useme imepga hatua na kinchi kama mkoa wa tabora
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na wakuu wa nchi za kiafrika,zaido ya 24, mawazili wakuu na waheshimiwa wengine kutoka ncho mbali mbali za Afrika.
Birundi na Jamhuri ya kidemoklasia ya Congo, hakukua na viongozi waliohudhulia.
Katika uwanja wa mpira,Rwanda National Stadium,iliyokuwa imefulikwa na maelfu ya raia; katika hotuba yake,ameonyesha kufurahia safari nzima ya kampeni na uchaguzi,uliomuacha akichaguliwa yeye kuendelea kuwa madarakani.
Akiongelea mambo mbali mbali yanayohusu majukumu yake,ambaho si mapya,bali kuendeleza,amezungumzia swala la usalama ukanda wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.
Amegusia tatizo la mashariki mwa DRC, na kudai kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.
= iliyohudhuriwaBaada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na wakuu wa nchi za kiafrika,zaido ya 24, mawazili wakuu na waheshimiwa wengine kutoka ncho mbali mbali za Afrika.
Birundi na Jamhuri ya kidemoklasia ya Congo, hakukua na viongozi waliohudhulia.
Katika uwanja wa mpira,Rwanda National Stadium,iliyokuwa imefulikwa na maelfu ya raia; katika hotuba yake,ameonyesha kufurahia safari nzima ya kampeni na uchaguzi,uliomuacha akichaguliwa yeye kuendelea kuwa madarakani.
Akiongelea mambo mbali mbali yanayohusu majukumu yake,ambaho si mapya,bali kuendeleza,amezungumzia swala la usalama ukanda wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.
Amegusia tatizo la mashariki mwa DRC, na kudai kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.
Ni Kweli,ila huwezi kuuita mkoa,kumbuka udogo wa nchi siyo tija,Usilinganishe Tanzania na huo mkoa.
Singeli aimbe nani?ni wakusamehe tu hawa vijana= iliyohudhuriwa
=mawaziri.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mimi Mheshimiwa Paulo Kagame namkubali sana huwezi mfananisha na wajinga walio kuta nchi zimendelea, wakaziharibu.Sampuli ya Kagame na Museveni ni ya Kifalme.
Watangaze ufalme tu.
. Sioni ubaya wakiendelea kuongoza maisha, mpaka kufa kwao.
Sawa. Angefanya ufalme tu, awachane na mifumo ya kimagharibi.Mimi Mheshimiwa Paulo Kagame namkubali sana huwezi mfananisha na wajinga walio kuta nchi zimendelea, wakaziharibu.
GDP in 1994 was USD 100......2024 is USD 1000. That is a 1,000 increase in 30 years.Mbali wap!? 76%+ ya barabara za hicho kimtaa(rwanda ) hazina lami? GDP per capital $980-$1005 kwa mwaka????!??