Paul Kagame amteua Dkt. Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo.

Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa kuwa Rais wa Rwanda kwa muhulu mwingine wa miaka mitano.

Hata hivyo alikuwa ni Waziri Mkuu tangu Julai 30,2017.

 
Rwanda hamna furaha raia wanaishi kwa hofu kubwa sanaa jamaa kawaweka kiganjani wote.
 
Leo ndio najua RW kna waziri Mkuu. Kama UG ndio jina linajulikana ni la Raia tu
 
Subiri nawe uteuliwe kuwa naibu waziri mkuu
 
Huyu Mhutu atakuwa kibaraka tu maamuzi yote ni ya Kagame. Yupo kama pazia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…