Hapo hakuna mwanafamilia wa Paul Kagame ata mmoja ni majina tu yanafananaUtakuta hapa JF mbwiga fulani inajinasibu oooooh Tanzania tuige Rwanda blaaaa blaaaa nyiiingi! Utaiga nini kwa kanchi kanaendeshwa kuzidiwa hata na Ukoo wa Mzee Rwegoshora namna ya kutawala kidemokrasia. Shiiiiit
Wewe una asili ya Rwanda?View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Kama wapo ELEGIBLE haina shida Sanaa.View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Mzee rwegoshora wa wapi?Utakuta hapa JF mbwiga fulani inajinasibu oooooh Tanzania tuige Rwanda blaaaa blaaaa nyiiingi! Utaiga nini kwa kanchi kanaendeshwa kuzidiwa hata na Ukoo wa Mzee Rwegoshora namna ya kutawala kidemokrasia. Shiiiiit
AiseeView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Hukumuona mwanae akiwa miongoni mwa wakimbiza Mwenge kitaifa?Mama Abdul achukue hili somo
Ameipambania sana hiyo nchi acha afanye acha afanye atakavyo kwangu ni sawa tumnavoambiwaga serikali ya PK yakwake binafsi iwe inaeleweka
Bahima Empire on the making.Bila shaka imekuwa nchi kifalme
FIkiria zaidi, nchi inaweza kuwa na demokrasia na ikapata maendeleo vizuri kabisa.Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Vyeo wamefikia kwa kururushwa tu, masomo wakipatiwa toka Israel, German, USA, British na France kimagumashiMwenye uweza wa kuwafaham Hao watoto na picha zao...
Napata makangafu nikijua lini Hao watoto wamefikia cheo cha Maj General
Hiyo Nchi ni Mali binafsi kama kina Kim wanavyojimilikisha N.Korea.View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote