Hapo hakuna mwanafamilia wa Paul Kagame ata mmoja ni majina tu yanafananaUtakuta hapa JF mbwiga fulani inajinasibu oooooh Tanzania tuige Rwanda blaaaa blaaaa nyiiingi! Utaiga nini kwa kanchi kanaendeshwa kuzidiwa hata na Ukoo wa Mzee Rwegoshora namna ya kutawala kidemokrasia. Shiiiiit