Umechanganya madawa kwelikweli, hizo nchi za Ulaya ulizozitaja hao wafalme/malkia hawana nguvu yoyote ya kiutawala na kimaamuzi kama hizo nchi zingine za Kiarabu na Asia.Mataifa makubwa duniani kote yanatawaliwa na familia moja ukianzia Uingereza, Uholanzi, Hispania, ubelgiji, Japan, Norway, Denmark, Morocco, Monaco, saud arabia, UAE, Qatar,
Sweden, Andorra, Liechtenstein, and Monaco, Thailand, Bhutan, Brunei, Cambodia, Japan, Malaysia, Thailand, eswatin, Lesotho ,Antigua and Barbuda, The Bahamas. Belize, Canada, Grenada, Jamaica, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia.
Hakuna cha ajabu alichofanya Kagame