Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

Umechanganya madawa kwelikweli, hizo nchi za Ulaya ulizozitaja hao wafalme/malkia hawana nguvu yoyote ya kiutawala na kimaamuzi kama hizo nchi zingine za Kiarabu na Asia.
 
Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
Ndugu hujui kusoma? Msome vizuri mtu aliye andika kuwa ni Paul Biya.
Wewe ndo inaonekana ni mtoto kama humjui Rais Paul na nchi anayo tawala.
Siku nyingine usijifanye wewe ndio mwenye akili kuliko wote matokeo yake unaonekane kituko mbele za watu wenye busara.
 
Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
Unaweza kujiona unafikiria vizuri kumbe bure tu; wapi nimesema Kagema alitawala since 1981? Maandishi mafupi tena ya Kiswahili tu yanakusumbua; haya una umri gani wewe?
 
Mbona North Korea hawajasambaratika?
Kuna kitu kimoja ambacho umeamua kujizima data....culture na historia ya sehemu hizo mbili ni tofauti.

Kagame ameingia kwa mtutu wa bunduki. Na mtutu wa bunduki una tabia yake, tofauti na Mapinduzi ya Juchi or something ya North Korea.

Naamini, taratibu hata North Korea watu wameanza kufunguka macho.
 
Kwanini Kagame asirudishe Utawala wa Kifalme tu Utawala wa Kifalme unaruhusu Nepotism.

Men, we are the designers and architects of our own downfall. Ukienda kumwambia hutarudi wala hatutakuona tena. Ila sasa, hata Habyarimana naye alikuwa ana akili hizo hizo.
Badala ya kuboresha anatumia the same foot print. What a loser!
 
Wanae wote
 
Acheni wivu bhana nani kawaambia demokrasia ndio maendeleo? Hapo middle east nchi zote hizo kuanzia mkuu wa nchi, mawaziri, magavana wa mikoa, wakuu wa majeshi n.k wote ni ndugu ama ni watoto wa Mfalme, au kaka wa Mfalme, au mjomba n.k Na hapo middle east hamna uchaguzi wala kupiga kura na nchi zina maendeleo sana tu

Hizo demokrasia za afrika zimewafikisha wapi mwacheni Kagame awape watoto kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…