Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

Safi Sana mkuu,na hyo ya USA kuwa nyuma yake kagame sio bahati mbaya Mana walimuandaa wao kwa malengo yao. Naomba mkasome kitabu Cha bwana Howard French titled a continent for taking kuna mengi kuwahusu hawa madhalimu was Kiafrika wanavoandaliwa na mabeberu wenyewe akiwamo kagame specifically kuandaliwa na USA na hats mafunzo ya kijeshi kayapata huko.
 
Mwanangu hapa una pwenti ila chunga sana wasikumalize maana wapo kila mahali wakifukia uchafu wao. Ukweli ni kwamba iko siku ukweli utakuja julikana na utaiweka dunia huru.
 
Ni kamungu mtu hàko, huko kwao wanakaogopa hatari.
Siku si nyingi hata huku kwetu tutaanza "kukaogopa" hako 'kamungu'.

Si unaona wanavyojigamba huko Msumbiji? Kule Afrika ya Kati nako 'kamungu' kanajitanua huko.

Nani ajuaye yanayokuja hapa kwetu katika hali hii tuliyomo sasa hivi. 'Kamungu' hako ndio katakuwa kanaamrisha, sisi tunafuata!

Watu husema "Mdharau mwiba mguu hufanyaje...?" Guu letu hili linatupeleka pabaya, na watu kama 'kamungu' hako kanaona fursa inayojitokeza mlangoni pake!

Hako 'kamungu', kanaigiza kuwa "Israel" ya eneo hili, na uigizaji wake hadi sasa unakwenda vizuri.
 
Kama ni vyombo vya habari binafsi vinampa sifa hiyo siyo Marekani rasmi. Hivyo vyombo vya habari binafsi vina ajenda zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na sera za Marekani
Inaonekana huijui Marekani mkuu, kama hujui kwamba vyombo hivyo vya habari binafsi na serikali yao ni kitu kimoja.
 
Uzi mzuri..
Asante Mkuu.
 

ni kamungu furani ivi si ka kudharau hata kidogo
 
Wanampenda kwa sababu anawasaidia kuiba madini Congo!
 
Ngoja akusikie. Utaipata fresh.
Unamkumbuka Kabendani Shinani yule mwandishi wa BBC?
Anakimbiza upepo akikua ataelewa yote ni bure.Maisha si zaidi ya kula na kunywa vingine ni ziada.
 
Kigali ni safest place ya kutoreshea madini ya congo na tanzania kwenda yuropu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…