Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

Inferiority complex unaua mtu asiyemiliki hata panga.Thus anamiliki KILA kitu lkn amiliki amani ya moyo hofu ya kupinduliwa
 
Nimeishi Rwanda aise ile nchi siyo, hakuna uhuru wa media kama Tanzania. Media za ndani utadhani zote ni za serikali.
Kila mtu anaishi kwa kushuku kuwa anaweza kuuawa muda wowote. Ukiwa mgeni unafuatiliwa sana, kila mgeni anahisiwa ni mjasusi. Ukitaka kupata ukweli uliza hata madereva wanaosafirisha mizigo.
 
North korea ya Afrika
 
Achana na propaganda, kagame kaiweka Rwanda vizuri na ni salama sana, hakuna rushwa, sheria zinafuatwa etc na uchumi unakua vizuri, naona unataka kuwarudisha wauaji wenzako interahamwe
Ili uwe salama lazima uwe kwenye upande wa kusifia na kuabudu kila kinafanywa na mamlaka na ndio maana wale wote waliojaribu kuleta mawazo mbadala wengi wao walishazikwa wakiwemo marafiki zake wa karib na kuhusu rushwa hakuna sehem isiyokuwa na rushwa dunian huwa tunatofautiana kiwango tu.
 
Mwisho ndio hao hao watamuua

Kuna dikteta yeyote dunia hii aliefugwa na Wamarekani akaja kupona?

No one!

Anajidanganya tu....end of the day they will depose him right away wataweka mwingine!

Watch this space!

View attachment 1959926
They call it balance and check.
Hata hivyo Kagame ameumiza wengi ndani ya nchi yake. Huwa naamini mwisho wake utatokana na watu wa ndani.
 
Ile na Kikwete ndipo nilipoona faida na hasara ya kuwa na ex-military president were nearly to fight. Kikwete alikuwa anatembea na detail ya jeshi muda mwingi...then akawapa JW operesheni Kimbunga....service men waliambiwa wawe kambini muda wote...na walipewa siraha...hii ilijuimuisha hadi form six leavers kwa mujibu. Nilitamani tungempiga slim
 
Na sisi ndo tulipokuwa tunaelekea na tulikuwa tumeshafika 85% kila mmoja alikuwa amesha kuwa CCM kwa kupenda au kutokupenda

Kwan chama kimoja ndo kinaleta uasi !! Au hujui vyama vingi ndyo chanzo cha vurugu na vita za kisiasa!!
 
acha uongo eti rwanda first word? ile nchi bado masikini sana alaf inategemea kuishi kwa kuiba Congo, mpaka leo kidonda cha kuchinjana hakijaisha ni suala la muda tu watachinjana tena, alaf Kagame sio best president sababu bado ni mkabila na pia ni muuaji hataki akosolewe, ukiwa tu mpinzani wake anakuua aua anakuweka jela. best prezidaa wa Africa ni Uhuru Muigai
 
Achana na propaganda, kagame kaiweka Rwanda vizuri na ni salama sana, hakuna rushwa, sheria zinafuatwa etc na uchumi unakua vizuri, naona unataka kuwarudisha wauaji wenzako interahamwe
rwanda si salama, watu wanaishi kwa hofu kubwa, hofu ya kuogopa kuuliwa.. ila moyoni wana vidonda vikubwa ambavo havijapona, kama rwanda ni salama embu waitishe uchaguzi huru na wa haki utakaomfanya paka akae pembeni, paka mwenyewe hofu imemjaa ndio mana hataki kuachia kiti wala kukosolewa
 
 
Hujui kua watutsi ni hybrid ya wa israel!!
They are gifted.
Eti watusi ni wa Israël nani kakudanganya ivo na hata kama Ni waizraeli Mungu amewaleta hapa duniani kuja kusumbuwa amani ya watu au ipo siku yenu ndo mtajua kweli kama Ninyi ni waisraeli au wayunani na tukifatilia historia za vitabu wa Israeli hawakuwa watu warefu kama Ninyi labda wafilisti
 
Na sisi ndo tulipokuwa tunaelekea na tulikuwa tumeshafika 85% kila mmoja alikuwa amesha kuwa CCM kwa kupenda au kutokupenda
Wapumbavu nao kwenye msafara hawakosekani,wenzio wana mada nyingine,na wewe unaleta upuuzi wako,kama huna uwezo wa kuchangia mada ni vzr pia kuwa msikilizaji wenye akili wachsngie
 
Nyakubahwa presida wa republika yu Rwanda #Rwandanziza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…