KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hoja zako ni zipi na ushahidi uko wapi?Hoja zangu niko tayari kuzitetea na ushahidi kuleta.
Hoja zako zitetee mwenyewe na ushahidi wako, usianze kuniuliza mimi nitoe ushahidi kuzipinga hoja zako au kuniambia nikafanye utafiti mwenyewe. Ukifanya hivyo utaonekana tuu unaongelea conspiracy theories ambazo huna ushahidi nazo.
Inabidi nikushike mkono na masikio kiasi hiki, maanake naona wewe ni mgumu sana wa kuelewa!