Kakosea nini kuongea hivyo..Mbona kagame anaongea huku anaingalia tanzania huyu mjuba? Kaitupia jiwe tanzania kimtindo! Yeye mwenyewe tu wananchi wake wana usongo naye, ni dikteta mkomavu. Aombe sana dua gez wake wasisanuke hakuna rangi ataacha kuona
Amini Nakuambia Kagame anajali Sana wananchi wake hasa vijana.Mbona kagame anaongea huku anaingalia tanzania huyu mjuba? Kaitupia jiwe tanzania kimtindo! Yeye mwenyewe tu wananchi wake wana usongo naye, ni dikteta mkomavu. Aombe sana dua gez wake wasisanuke hakuna rangi ataacha kuona
Kwa kauli hiyo niliyo quote hapo, inaonyesha Kagame ana hekima kuliko maccm yote kwa pamoja.Ameongeza kuwa suluhisho si kuwadhibiti vijana, bali ni kujenga mifumo yenye uwajibikaji, haki, na kusikiliza kilio cha wananchi, hasa vizazi vipya vinavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kuhamasisha hoja zao.
Wanyarwanda hawana usongo na kagame hata kidogoMbona kagame anaongea huku anaingalia tanzania huyu mjuba? Kaitupia jiwe tanzania kimtindo! Yeye mwenyewe tu wananchi wake wana usongo naye, ni dikteta mkomavu. Aombe sana dua gez wake wasisanuke hakuna rangi ataacha kuona
Huyu naye kwenye democracy ana score chini ya sifuri.Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema bara la Afrika linaweza kushuhudia mapinduzi zaidi, hasa kutokana na mtindo wa vijana wa kizazi kipya, maarufu kama Gen Z kuonyesha nia ya kupindua tawala ambazo hazitekelezi matakwa ya wananchi.
Akizungumza kufuatia mfululizo wa mapinduzi barani Afrika, ikiwemo Madagascar mwezi uliopita na machafuko ya kijeshi Guinea-Bissau wiki hii, Kagame amesema ni muhimu viongozi wa Afrika “kujiuliza sababu za mapinduzi haya badala ya kushangazwa nayo.”
Kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa, tangu mwaka 1952 kumetokea mapinduzi 130 katika nchi 36 barani Afrika, huku karibu mapinduzi 10 yakitokea ndani ya miaka mitano iliyopita pekee.
Kagame amesema mataifa mengi ya Afrika, ikiwemo Rwanda, yana matatizo katika namna yanavyoendeshwa, jambo linalochochea misuguano kati ya watawala na wananchi. “Namna viongozi wanavyoendesha nchi zao inaweza kujenga mazingira ya mapinduzi,” amesema, akisisitiza kuwa vijana wanafanya hivyo wakiamini wanatafuta mabadiliko ya kiutawala na kiuchumi.
Ameongeza kuwa suluhisho si kuwadhibiti vijana, bali ni kujenga mifumo yenye uwajibikaji, haki, na kusikiliza kilio cha wananchi, hasa vizazi vipya vinavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kuhamasisha hoja zao.
Chanzo: Mwanahalisi
Watu wanasema ana chuki na serikali ya Tz na kundi lililopo sasa madarakani .Mbona kagame anaongea huku anaingalia tanzania huyu mjuba? Kaitupia jiwe tanzania kimtindo! Yeye mwenyewe tu wananchi wake wana usongo naye, ni dikteta mkomavu. Aombe sana dua gez wake wasisanuke hakuna rangi ataacha kuona
Na ametabiri kwa usahihiJamaa anatabili kitu