and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki