CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Hebu punguzeni mihemko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu punguzeni mihemko
Hawakutaka tu Kumpa1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki
Bibi anaonekana mzee zaidi ya babu yetu mzee Kimiti....1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki
😅😅😅😅ni historia nzuri sanaMzee hakuwa na kifua cha kutunza ujumbe mzito
Ni uwongo tu huo jambo kama hilo halipo ni uzushi tu tumesikia wengi kwamba atakuwa waziri na wakawa sembuse mzee Kimiti hakuna kitu kama hicho.1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki
Sana. Marupurupu ya Uwaziri Mkuu sinya kitotoMzee atakua anajutia