Daaaaa niliwahi sikia ila mmmm......basi sawaMheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon. Habari ikaenea kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
Hakuna tatizo kutoa rumours za aina hiyo, sema labda kwa sababu nchi ilikuwa na mifumo fulani hivi ya kikomunistiYa uteuzi kabla haijawa public
Hii picha sijaielewa. Ni kwamba mtu kaamua kutandika bendera ya taifa kitandani na kuamua kumtoa mwanamke bikira ama.
Hatutaki habari zenu tuna msiba tunaomboleza1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi akabadili mawazo.
FUNZO: Usimshirikishe mtu yeyote ishu kabla haijatiki