Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi?
Mbona hatukuona polisi kumkamata na kumfungulia mashtaka ya ugaidi au ugaidi ni kwa wanaodai Katiba Mpya?