Paul Makonda amkabidhi Prof Jay millioni 20 ,Atoa ahadi nzitoo ya kumtafutia nyumba upanga ili kuwa karibu na hospitali.

CHADEMA wamechangia nini ulichokiona? Tangia lini CHADEMA ikaguswa na shida za watu? Tangia lini CHADEMA ikawa na huruma na wenye kuhitaji msaada?
Kwani wakichangia lazima wakwambie? Wewe ni nani katika Familia ya Jay. Please hii nyuzi ni dhalili sana.

Tunauliza, siku ile Dodoma alikwenda kukamilisha mradi gani? Vipi Coco Beach na Viroba vya mto Ruvu
Anaweza kutusaidia kujua walipo akina Ben na Azory kama alivyotusaidia kwa Roma
 
chadema wanachakujifunza walah

Kujifunza kuchukua pesa za serikali kumpatia mtu? Ninaona kula lawama kwa Chadema, au kwa kuwa hawatangazi wanachofanya kwa Jay?? Ni kweli unataka Chadema ichangie taasisi binafsi ya Jay? Vipi na taasisi nyingine za watu wengine? Nazo pia wachangie? Watafute nyumba upanga halafu walipoe pango kwa mbunge wa zamani, je wabunge wote wa zamani wanafanyiwa hivo? Au kwa kuwa CCM inaweza kuwapa wabunge waliopita ukuu wa wilaya, mkoa, DAS na RAS?? Je CCM inawapangishia nyumba wabunge wa zamani?

Tuna vijana wengi wa hovyo wasio na hata mambo ya maana zaidi ya fitna! Kujipendekeza na kuwaza mambo rahisi rahisi wakitaka yaonekane hadharani. Ninadhani una la kujifunza zaidi ya Chadema. And you are hearing this from an apolitical person!!
 

Naunga mkono hoja
 
Sasa mbona hekima hizo hazipo ndani ya CHADEMA? Mbona moyo huo wa kusaidia huukuti ndani ya mioyo ya viongozi wa CHADEMA? Mbona hisia hizo za huruma huwezi kuziona ndani ya vifua na nyuso za wana CHADEMA zaidi ya janja janja tu?
Wewe chawa hii foundation ya Prof. Jay haifungamani na Chama chochote ni nyinyi wanasiasa ndio mnataka kuitumia kama mtaji; kumbuka kuwa Prof. Jay ni mwanachama wa Chadema na sio ccm na alikuwa mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chadema!
 
Yeye anakupa 20 M kwenye nchi isiyokuwa na huduma bora ya afya, yeye akiumwa India chap na ndugai wanakwena kutibiwa,


Swali ni je 20M ina thamani mahali ambapo hakuna huduma bora za afya?
 
Ili uonekane wewe sio chawa Ila upo Ku-raise awareness usijikite katika Kutoa taarifa zenye kejeli , kumbuka unapojitofautisha na WATU thamani yako ndo inapanda ZAIDI.
 
Bandiko zuri, ulichokosea kuweka namba, mwisho wa mwaka huu, chadema wanakusoma tu, usijekukaribishwa kinnywaji au chochote kwa kupitia namba yako, na ukashobokea kwenda.
 
Cha msingi wasiishie kwa wamitulinga tu wapo wengi wenye changamoto kama nao pia wamulikwe!
 
tengeni mfuko wa majanga wacheni porojo
 
Hii imenikumbusha kisa kimoja cha ndugu aliyemlisha mwenzake sumu kisiri lakini akawa mstari wa mbele kuchangia matibabu yake mbele ya umma.
Ilionekana mbele za watu kuwa mchangiaji aliyekuwa mstari wa mbele ndiye mwenye huruma kuliko mwingine kumbe uhalisia na ukweli chanzo cha ugonjwa na hata kifo cha muathirika ni Yeye.
Tusijidanganye Mungu hadhihakiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nawe ni wale wale hata ufanyiwe nini huwezi kulidhika! Wakiacha kutoa utasema, wakitoa utasema mnafiki ni mtu mbaya sana!
Na kwa sehemu kubwa ni nyinyi vijana wenye chuki kubwa na Makonda na mnaonesha chuki zenu wazi pasipo kificho! Na cha kushangaza zaidi mnajipa Umungu mtu wa kutoa hukumu kwa wenzenu huku mkijihesabia haki kana kwamba Mungu ni wa kweu tu!
Badala ya kutambua ya kuwa kila mtu kapungukiwa na utukufu wa Mungu ndo maana kila leo tunaomba Mungu atusamehe makosa yetu!
 
Wewe chawa hii foundation ya Prof. Jay haifungamani na Chama chochote ni nyinyi wanasiasa ndio mnataka kuitumia kama mtaji; kumbuka kuwa Prof. Jay ni mwanachama wa Chadema na sio ccm na alikuwa mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chadema!
Kuwa CHADEMA sio hati miliki ndo maana Prof Jay analiliwa na kuungwa mkono na kila mtu! Sema nyinyi kwenu siasa ni uadui hasa kwa Makonda! Maana kila mnapomuona Makonda mnawashwa washwa kama malaya!
Tuulieni hakuna anayetumia platform ya matatiozo ya Prof Jay kwa sababu taasisi yake ya kusaidia watu wenye matatioz ya figo aliamua yeye mwenyewe kuiunda hakushawishiwa na Makonda ili aje kujitwalia sifa yeye mwenyewe!
Nawaombeni sana CHADEMA msipo badilika na kuwa wauungwana msitegemee kuwa na matokeo ya tofauti kwa kuwa mnakoelekea sasa ni kuwa adui wa kila mu anayefaya jambo jema kwa manufaa ya uma hasa napokuwa sio mwanachama wenu!
 
Seen.
 
Nimeona maburungutu,nauliza tu fedha mbona hazipitii bank kama mheshimiwa waziri wa fedha alivyoagiza kuwa bank zitumike kuhifadhi pesa?
 
Tunasubiri mwenyekiti wa chama awekwe mahabusu ndo watuwekee account za kuchangia tuchange million 400 za wakili akitoka akamalizie ghorofa nyingine machame

Sasa na wewe hiyo namba hapo mwisho umeweka ya kazi gani? Au ndo unatuma maombi ya kazi
 
Narudia tena wana wa JF,Shahawa zetu nyingine ni heri kuzimwaga nje au kwenye Condom kuliko kumwaga ndani kisha wakazaliwa watoto kama huyu LUCAS MWASHAMBWA,ni hasara kwa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…