G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno haya kwenye picha ya Lulu aliyoambatanisha "Stay strong, dady is coming"
Kwanza najiuliza huyo dady ni nani? Pili Paul Makonda alistahili kwanza kuelewa kuwa hata mama yake marehemu Kanumba ana uchungu wa kumpoteza mwanaye kipenzi na kwa hakika Lulu alistahili hukumu.
Tufike mahali tuache kuweka mahaba kwenye kila jambo, mumeona mrembo amepata haki yake sasa mnaanza kulialia. Tuacheni kuweka mbele mahaba hadi kuzuia haki. Eti dady.....!