Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani wabongo kwenye suala la kuelewa jambo ni shida.Dad....is...coming meaning he(Makonda?) will be visiting Lulu there.
NimechekaaaSikukuu gani ipo karibuni?
mhimili uliojichimbia chini ndo unalipa bajeti ya mahakama,hauhitaji kufata sheriaHaya tunasubiri labda Dady atafanya maajabu 9Dec kama sheria ikipindishwa,maana sidhani kama kesi za mauaji zina msamaha.
Yaani ndo ujue watu walivyo wanafki,marehemu hana haki saivi.yaani watu hawafikirii uchungu wa mama kanumba kabisaaaaaaaa.
Ina maana muuaji anaweza achiwa na Babu seya ambaye DNA hazikupimwa akafia jela?Haya tunasubiri labda Dady atafanya maajabu 9Dec kama sheria ikipindishwa,maana sidhani kama kesi za mauaji zina msamaha.
Independence daySikukuu gani ipo karibuni?
NAYE ATAACHIWA ila kumpa kiki bashite na babaye ionekane jk alikuwa katili wakati issue ya ile kesi ni mke wa mkubwa huko kisiwani zanzibar wala sio jkIna maana muuaji anaweza achiwa na Babu seya ambaye DNA hazikupimwa akafia jela?